Usawirishaji wa Uhusika katika riwaya za Rosa Mistika na Maisha Kitendawili
dc.contributor.author | Muia, Shadrack Tete | |
dc.contributor.author | Mutua, John | |
dc.contributor.author | Makoti, Vifu | |
dc.date.accessioned | 2023-11-24T07:40:24Z | |
dc.date.available | 2023-11-24T07:40:24Z | |
dc.date.issued | 2023-03 | |
dc.identifier.citation | Muia, S. T., Mutua, J., & Makoti, V. (2023). Usawirishaji wa Uhusika katika riwaya za Rosa Mistika na Maisha Kitendawili. Research Journal in African Languages, 4(2). Retrieved from https:// royalliteglobal.com/africanlanguages/article/view/1053 | en_US |
dc.identifier.uri | http://ir.mksu.ac.ke/handle/123456780/18002 | |
dc.description.abstract | Makala hii inajadili usawirishaji wa uhusika katika riwaya za Rosa Mistika na Maisha Kitendawili. Kipengele cha wahusika ni muhimu katika kazi ya fasihi kwani hushirikiana na vipengele vingine vya fani ili kutoa ujumbe wa kazi ya fasihi. Kwa kawaida wahusika hujengwa kisanaa na mwandishi ili waweze kuwasilisha dhana mbalimbali za maisha katika jamii. Kwa hivyo lengo la makala hii ni kuchambua uwashirishaji wa wahusika wakuu katika riwaya za Rosa Mistika ya Euphrase Kezilahabi na Maisha Kitendawili ya John Habwe Kwa kawaida wahusika hujengwa kisanaa na mwandishi ili waweze kuwasilisha dhana mbalimbali za maisha katika jamii. Kipengele cha wahusika ni muhimu katika kazi ya fasihi kwani hushirikiana na vipengele vingine vya fani ili kutoa ujumbe wa kazi ya fasihi. Mwandishi huwajenga wahusika wake kwa kutumia mbinu mbalimbali ili kuwatofautisha na kuiwezesha hadhira yake kutambua sifa za mhusika fulani na kutofautisha na mhusika mwingine katika kazi ya fasihi. Kwa hivyo lengo la makala hii ni kubainisha mfanano wa wahusika wakuu katika riwaya za Rosa Mistika (Euphrase Kezilahabi) na Maisha Kitendawili (John Habwe). Ili kufikia lengo la makala hii tumeongozwa na nadharia ya udhanaishi. Nadharia hii imetuwezesha kubainisha sifa za wahusika wakuu kama zilivyosawiriwa na waandishi. | en_US |
dc.language.iso | en | en_US |
dc.publisher | Royallite Global | en_US |
dc.subject | fani | en_US |
dc.subject | mbinu | en_US |
dc.subject | mtindo | en_US |
dc.subject | sanaa | en_US |
dc.subject | uhusika | en_US |
dc.subject | usawiri | en_US |
dc.subject | wahusika | en_US |
dc.title | Usawirishaji wa Uhusika katika riwaya za Rosa Mistika na Maisha Kitendawili | en_US |
dc.type | Article | en_US |